Chapisha hadithi yako ya picha za digrii 360, wachangamshe wateja wako
Ni rahisi zaidi kuunda picha za Taswira ya Mtaa. Iwe unataka kupiga picha na kushiriki popote ulipo au unapenda kutumia vidhibiti mahiri vya kuhariri ziara, una chaguo tele za bidhaa zenye uwezo wa kutumia Taswira ya Mtaa na sera bayana ya uchapishaji.
Google imeshirikiana na watengenezaji/wasanidi programu wafuatao ili kuwezesha shughuli za uchapishaji wa picha za Taswira ya Mtaa lakini haithibitishi shughuli zozote za kiutendaji au kiufundi*.
Ili kuunda Taswira yako ya Mtaa, chagua bidhaa ya Street View ready.
Street View Studio
- Zana ya kudhibiti Picha za Taswira ya Mtaa kwa ajili ya uchapishaji
- Pakia, dhibiti, fuatilia na uangalie takwimu za picha zako za digrii 360
- Upakiaji wa makundi ya picha bila kipimo
Pilot Era 360°
- Uunganishaji wa moja kwa moja unaotumia 7FPS: hamna kuchapisha baadaye
- Chapisha moja kwa moja katika Google kutoka kwenye kamera
- Utendaji rahisi wa skrini ya kugusa, inayowafaa watumiaji wasio weledi
INSTA360 PRO2
- Sehemu ya GPS Iliyojumuishwa
- FlowState – Uthabiti wa Video
- Farsight – Ufuatiliaji wa Moja kwa Moja kutoka Mbali
INSTA360 PRO
- 8K katika fremu 5 kwa kila sekunde
- Upeo wa wima wa digrii 180 huonyesha kila kitu
- Uimarishaji wa picha katika wakati halisi
RICOH THETA Z1
- Kitambuzi cha picha cha CMOS kinachowaka nyuma cha inchi moja
- 6.7K katika fremu tano kwa sekunde
- Hali ya Video ya programu ya Android katika Taswira ya Mtaa
GoPro Fusion
- 5.8K katika fremu 24 kwa kila sekunde
- Chapisha ukitumia TrailBlazer kutoka Panoskin
MATTERPORT PRO2
- Kupiga picha katika ubora halisi wa 3D
- Uwezo wa kutumika pamoja na programu ya Taswira ya Mtaa (beta)
YI 360 VR CAMERA
- Picha za ubora wa 5.7K
- Uwezo wa kutumika pamoja na programu ya Taswira ya Mtaa
iSTAGING
- Picha za ubora wa 8K
- Kihariri cha Onyesho la Mtandaoni kimejumuishwa
RICOH THETA S & SC
- Picha za ubora wa 5.2K (video haioani)
- Uwezo wa kutumika pamoja na programu ya Taswira ya Mtaa
iGUIDE IMS-5
- Picha za ubora wa DSLR
- Picha mahususi za digrii 360 na ramani za jengo
CUPIX
- Programu ya 3D kwa ajili ya video na picha za digrii 360
- Mpangilio kamili wa picha pana unaofanyika kiotomatiki
- Hailipishwi katika kipindi cha beta
PANOSKIN
- Huduma ya uchapishaji/kuhariri ziara kwenye wavuti
- Kitengenezaji maridadi cha ziara maalum
- Ina dashibodi ya takwimu za wateja
GOTHRU MODERATOR
- Huduma ya uchapishaji/kuhariri ziara kwenye wavuti
- Rahisi sana kudhibiti kazi
- Uwezo wa kutumia kipegele cha kuunganisha kiotomatiki
GARDEN GNOME PANO2VR
- Zana ya kuchapisha au kihariri cha ziara katika kompyuta ya mezani
- Zana nyingi zinazofaa wapigapicha stadi
- Hakuna ada zinazojirudia
TOURMAKE VIEWMAKE
- Huduma ya uchapishaji/kuhariri ziara kwenye wavuti
- Imeundwa mahususi kwa ajili ya Taswira ya Mtaa
- Huduma inapatikana katika lugha nyingi
METAREAL STAGE
- Huduma ya uchapishaji au kihariri cha ziara kwenye wavuti
- Hutengeneza ziara, michoro ya jengo na miundo ya 3D kutoka panorama ya digrii 360
- Inaweza kutumika katika jengo lenye ghorofa nyingi
PEDESTRIAN MOUNT KIT
- Chaguo thabiti na nyepesi
- Imejumuisha kiweko kidogo cha miguu mitatu, kiweko cha mguu mmoja kinachoweza kuambatishwa na kinachoweza kupachikwa kwenye helmeti
HELMET MOUNT
- Nyepesi na rahisi kupachika
- Inafanya kazi kwenye kamera nyingi za picha za digrii 360
- Hufanya kazi pia kwenye kamera za GoPro
VEHICLE MOUNTS
- Zinapatikana kwa ajili ya kamera kubwa na ndogo
- Toleo la kamera kubwa linajumuisha mkanda
- Inafanya kazi kwenye kamera nyingi za picha za digrii 360
Hakuna matokeo yoyote ya ulichotafuta.
*Ingawa wasanidi programu na watengenezaji hawa wametimiza masharti ya programu na vifaa vinavyoweza kutumika kwenye Taswira ya Mtaa, masuala yoyote mahususi ya kiufundi au ugavi yanapaswa kushughulikiwa moja kwa moja na mtoa huduma husika.
Ili upate sera zinazohusiana na picha za Taswira ya Mtaa zinazochangiwa na mtumiaji, tafadhali angalia Sera ya Maudhui Yanayochangiwa na Watumiaji kwenye Ramani.